Simulizi, tamthilia na filamu za sauti.

Furahia simulizi, tamthilia na filamu bora za sauti na vipindi bora kabisa vilivyoandaliwa kwa ubora na watayarishaji maarufu. Fuatilia hivi vyote kwa TZS 300 tuu kwa kila kipindi.

Sikiliza au Tazama popote

Furahia kutoka kwenye tovuti(website) ikiwa kwenye komputer aina zote, simu janja(smart phone) na tablet. Mpaka kwenye vifaa vitatu ya mawasiliano kwa mara moja.